Jinsi ya kutumia programu ya Deriv P2P | Deriv Blog
Jifunze kwa undani jinsi ya kutumia malipo ya P2P kuhamisha fedha bila usumbufu kati ya akaunti yako ya Deriv na vyanzo vya nje katika video hii ya mafunzo.
Timu ya Deriv · 7 September 2021 · 3 dak kusoma
Share

Deriv P2P ni jukwaa letu la kuweka na kutoa fedha kati ya mtu na mtu (peer-to-peer) linalowezesha miamala kufanyika bila usumbufu miongoni mwa wafanyabiashara. Gundua mchakato wa kuunda matangazo na kusimamia fedha kati ya akaunti yako ya Deriv na malipo ya P2P kupitia video hii ya maelekezo.