Multipliers za Deriv: Jinsi zinavyofanya kazi | Deriv Blog
Gundua Multipliers ni nini, jinsi ya kuongeza faida tarajiwa, na jinsi kufanya biashara na Multipliers za Deriv ni tofauti na biashara yenye leverage.
Timu ya Deriv · 15 September 2021 · 3 dak kusoma

Makala haya yalisasishwa tarehe 22 Januari 2024
Kufanya biashara na leverage hukuruhusu kuchukua nafasi kubwa katika soko ukiwa na kiasi kidogo cha mtaji. Hata hivyo, biashara yenye leverage pia huja na uwezekano wa hasara kubwa.
Lakini si kwenye Multipliers za Deriv.
Multipliers zinakuruhusu kuongeza faida yako tarajiwa kwa njia sawa na biashara yenye leverage. Unaweka tu multiplier kwenye biashara zako ili kuweza kuzidisha faida yako. Lakini tofauti na biashara yenye leverage, hutaongeza hasara zako tarajiwa kwa wakati mmoja.
Jinsi Multipliers zinavyofanya kazi
Huu hapa ni mfano. Tuseme unafanya biashara na kiasi cha biashara cha 100 USD na kutabiri kuwa soko litapanda. Kisha soko linapanda kwa 2%.

Kwa upande mwingine, hasara zako hazizidi kiasi chako cha biashara unapofanya biashara ya Multipliers kwenye Deriv. Kwa mfano:

*thamani za multiplier na leverage zinatofautiana kulingana na nchi unayofanyia biashara
Faida za kufanya biashara na Multipliers
Imarisha biashara zako
Ongeza multiplier kwenye biashara zako — kadiri multiplier inavyokuwa kubwa, ndivyo faida yako tarajiwa inavyokuwa kubwa. (Kama unaishi EU au UK, thamani za multiplier yako zimepangwa mapema kulingana na rasilimali unayofanyia biashara.)
Weka ukomo wa hatari yako
Huwezi kupoteza zaidi ya kiasi chako cha biashara cha awali kupitia utendaji wa Stop Out wa kiotomatiki — kwenye kila biashara.
Dhibiti uwezekano
Linda faida yako kiotomatiki, linda kiasi chako cha biashara, na ujisikie huru kubadili uamuzi wako ukitumia vipengele vya udhibiti wa hatari kama vile Take Profit, Stop Loss, na kufuta biashara.
Fanya biashara wakati wowote, mahali popote
Fanya biashara ya Multipliers kwenye forex, sarafu za crypto, na synthetic indices za Deriv kwenye kompyuta na kwenye programu ya simu ya Deriv, Deriv GO. Kwa kuwa crypto na synthetic indices zinapatikana kwa biashara saa 24/7, hata mwishoni mwa wiki, unaweza kufanya biashara ya Multipliers wakati wowote, mahali popote unapotaka.
Gundua jinsi ya kuanza kufanya biashara ya Multipliers kwenye jukwaa la biashara la DTrader la Deriv katika mwongozo huu wa hatua kwa hatua.